John 8:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata nikihukumu, hukumu yangu ni halali kwa sababu mimi siko peke yangu; Baba aliyenituma yuko pamoja nami.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hata nikihukumu, uamuzi wangu ni sahihi kwa sababu sitoi hukumu yangu peke yangu, bali niko pamoja na Baba, aliyenituma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nijapohukumu, hukumu yangu ni kweli; kwa kuwa mimi si peke yangu, bali ni mimi na yeye aliyenipeleka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini ikiwa ninahukumu, basi hukumu yangu ni ya kweli, kwa sababu ninapohukumu sifanyi hivyo peke yangu. Baba aliyenituma yuko pamoja nami.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hata nikihukumu, hukumu yangu ni ya haki kwa sababu mimi siko peke yangu; Baba aliyenituma yuko pamoja nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata nikihukumu, hukumu yangu ni halali kwa sababu mimi siko peke yangu; Baba aliyenituma yuko pamoja nami.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hata kama nikihukumu, uamuzi wangu ni sahihi kwa sababu sitoi hukumu yangu, bali mimi pamoja na Baba aliyenituma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hata kama nikihukumu, uamuzi wangu ni sahihi kwa sababu sitoi hukumu yangu peke yangu, bali niko pamoja na Baba, aliyenituma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nijapohukumu, hukumu yangu ni kweli; kwa kuwa mimi si peke yangu, bali ni mimi na yeye aliyenituma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata nikihukumu, hukumu yangu ni halali kwa sababu mimi siko peke yangu; Baba aliyenituma yuko pamoja nami.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ijapo nihukumu mtu, hukumu yangu ni ya kweli kwani siko peke yangu, ila tuko mimi na yule aliyenituma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nijapohukumu, hukumu yangu ni kweli; kwa kuwa mimi si peke yangu, bali ni mimi na yeye aliyenipeleka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hata ningehukumu, hukumu yangu ingekuwa ya kweli, kwa sababu sihukumu peke yangu, lakini Baba aliyenituma ni pamoja nami.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na nijapohukumu, hukumu yangu ni kweli, kwa kuwa mimi si peke yangu bali mimi na Baba aliyenipeleka.