John 8:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Imeandikwa katika sheria yenu ya kwamba ushahidi wa watu wawili ni halali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Imeandikwa katika Torati yenu kwamba ushahidi wa watu wawili ni thabiti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena katika torati yenu imeandikwa kwamba, Ushuhuda wa watu wawili ni kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sheria yenu inasema kwamba mashahidi wawili wakilisema jambo hilo hilo, basi mnapaswa kukubali wanayosema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Imeandikwa katika Sheria yenu ya kwamba ushahidi wa watu wawili ni halali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Imeandikwa katika sheria yenu ya kwamba ushahidi wa watu wawili ni halali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Imeandikwa katika Sheria yenu kwamba, ushahidi wa watu wawili ni thabiti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Imeandikwa katika Torati yenu kwamba ushahidi wa watu wawili ni thabiti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena katika torati yenu imeandikwa kwamba, Ushuhuda wa watu wawili ni kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Imeandikwa katika sheria yenu ya kwamba ushahidi wa watu wawili ni halali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata katika Maonyo yenu imeandikwa: Ushuhuda wa watu wawili ni wa kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena katika torati yenu imeandikwa kwamba, Ushuhuda wa watu wawili ni kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na imeandikwa hata katika Sheria yenu kama ushuhuda wa watu wawili ni wa kweli.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na tena katika sharia yenu imeandikwa, Ushuhuda wa watu wawili ni kweli.