John 8:27 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawakuelewa kwamba Yesu alikuwa akisema nao juu ya Baba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawakuelewa kuwa alikuwa akiwaambia kuhusu Baba yake wa Mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hawakutambua ya kuwa anawatajia Baba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wale watu hawakuelewa alikuwa anazungumza habari za nani. Kwani Yeye alikuwa anawaambia habari za Baba.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hawakuelewa kwamba Yesu alikuwa akisema nao juu ya Baba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawakuelewa kwamba Yesu alikuwa akisema nao juu ya Baba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawakuelewa kuwa alikuwa akiwaambia juu ya Baba yake wa Mbinguni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawakuelewa kuwa alikuwa akiwaambia juu ya Baba yake wa Mbinguni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hawakutambua ya kuwa anawatajia Baba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawakuelewa kwamba Yesu alikuwa akisema nao juu ya Baba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawakutambua, ya kuwa aliwaambia mambo ya Baba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hawakutambua ya kuwa anawatajia Baba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawakujua kama alisema juu ya Baba yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hawakufahamu ya kuwa awatajia Baba.