John 8:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, waalimu wa sheria na Mafarisayo wakamletea mwanamke mmoja aliyefumaniwa katika uzinzi. Wakamsimamisha katikati yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walimu wa Torati na Mafarisayo wakamleta mwanamke mmoja aliyefumaniwa akizini. Wakamsimamisha katikati ya umati wa watu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walimu wa sheria na Mafarisayo wakamleta kwake mwanamke waliyemfumania akizini. Wakamlazimisha asimame mbele ya watu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, walimu wa Sheria na Mafarisayo wakamletea mwanamke mmoja aliyefumaniwa katika uzinzi. Wakamsimamisha katikati yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, waalimu wa sheria na Mafarisayo wakamletea mwanamke mmoja aliyefumaniwa katika uzinzi. Wakamsimamisha katikati yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walimu wa sheria na Mafarisayo wakamleta mwanamke mmoja aliyefumaniwa akizini. Wakamsimamisha katikati ya umati wa watu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walimu wa Torati na Mafarisayo wakamleta mwanamke mmoja aliyefumaniwa akizini. Wakamsimamisha katikati ya umati wa watu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, waalimu wa sheria na Mafarisayo wakamletea mwanamke mmoja aliyefumaniwa katika uzinzi. Wakamsimamisha katikati yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, waandishi na Mafariseo walipoleta mwanamke aliyefumaniwa katika ugoni, wakamsimamisha katikati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu walimu wa Sheria pamoja na Wafarisayo wakaleta mbele yake mwanamuke mumoja aliyekamatwa katika uzinzi. Wakamusimamisha mbele ya watu wote
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati,