John 8:43 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini hamuelewi hayo ninayosema? Ni kwa kuwa hamwezi kuusikiliza ujumbe wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini hamwelewi ninayowaambia? Ni kwa sababu hamwezi kusikia nisemacho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona hamyafahamu hayo niyasemayo? Ni kwa sababu ninyi hamwezi kulisikia neno langu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hamuyaelewi mambo ninayosema, kwa sababu hamuwezi kuyakubali mafundisho yangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa nini hamwelewi hayo ninayosema? Ni kwa kuwa hamwezi kuusikiliza ujumbe wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini hamuelewi hayo ninayosema? Ni kwa kuwa hamuezi kuusikiliza ujumbe wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini hamwelewi ninayowaambia? Ni kwa sababu hamwezi kusikia nisemacho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini hamwelewi ninayowaambia? Ni kwa sababu hamwezi kusikia nisemacho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona hamyafahamu hayo niyasemayo? Ni kwa sababu ninyi hamuwezi kulisikia neno langu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini hamuelewi hayo ninayosema? Ni kwa kuwa hamwezi kuusikiliza ujumbe wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona hamyatambui ninayoyasema? Ni kwa sababu hamwezi kulisikia Neno langu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona hamyafahamu hayo niyasemayo? Ni kwa sababu ninyi hamwezi kulisikia neno langu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu gani hamuelewi maneno ninayowaambia? Ni kwa sababu hamutaki kusikia maneno yangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mbona hamyafahamu maneno yangu haya niyasemayo? Ni kwa sababu hamwezi kulisikia neno langu.