John 8:45 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nasema ukweli, na ndiyo maana nyinyi hamniamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwa sababu nimewaambia kweli, hamkuniamini!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami, kwa sababu nasema iliyo kweli, hamnisadiki.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nawaambieni ukweli, na ndiyo maana hamniamini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mimi nasema ukweli, na ndiyo maana ninyi hamniamini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nasema ukweli, na ndiyo maana nyinyi hamniamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kwa sababu nimewaambia kweli hamkuniamini!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwa sababu nimewaambia kweli hamkuniamini!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami, kwa sababu nasema iliyo kweli, hamnisadiki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nasema ukweli, na ndiyo maana nyinyi hamniamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi ninaposema iliyo ya kweli, hamnitegemei.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami, kwa sababu nasema iliyo kweli, hamnisadiki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwa ngambo yangu, ninyi hamuniamini kwa maana ninasema ukweli.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nami, kwa sababu naisema kweli, hamniamini.