John 8:51 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli nawaambieni, anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amin, amin nawaambia, mtu yeyote akilitii neno langu, hataona mauti milele.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amin, amin, nawaambia, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti milele.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nawaahidi, yeyote anayeendelea kutii mafundisho yangu, hatakufa milele.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kweli nawaambieni, anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli nawaambieni, anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amin, amin nawaambia, mtu ye yote akilitii neno langu hataona mauti milele.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amin, amin nawaambia, mtu yeyote akilitii neno langu hataona mauti milele.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amin, amin, nawaambia, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli nawaambieni, anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli kweli nawaambiani: Mtu atakapolishika Neno langu hataona kufa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amin, amin, nawaambia, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli, kweli ninawaambia: kama mutu akishika maneno yangu, hatakufa hata milele.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Amin, amin, nawaambieni, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti kabisa hatta milele.