John 8:56 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abrahamu, baba yenu, alishangilia aione siku yangu; naye aliiona, akafurahi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baba yenu Ibrahimu alishangilia kwamba angeiona siku yangu, naye akaiona na akafurahi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baba yenu Ibrahimu alifurahi sana kwamba angeiona siku nilipokuja duniani. Hakika aliiona na akafurahi sana.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Abrahamu, baba yenu, alishangilia aione siku yangu; naye aliiona, akafurahi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abrahamu, baba yenu, alishangilia aione siku yangu; naye aliiona, akafurahi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baba yenu Abrahamu alishangilia kwamba angaliiona siku yangu, naye akaiona na akafurahi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baba yenu Ibrahimu alishangilia kwamba angaliiona siku yangu, naye akaiona na akafurahi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Abrahamu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abrahamu, baba yenu, alishangilia aione siku yangu; naye aliiona, akafurahi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baba yenu Aburahamu alishangilia, kwamba aione siku yangu; akaiona, akafurahi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baba yenu Abrahamu alishangilia akitumainia kuona siku ya kuja kwangu; na wakati alipoiona, alifurahi.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ibrahimu baba yemi alishangilia apate kuiona siku yangu; akaona, akafurahi.