John 8:59 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo wakaokota mawe ili wamtupie, lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wakaokota mawe ili kumpiga, lakini Isa akajificha, naye akatoka Hekaluni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Aliposema haya, wakachukua mawe ili wamponde. Lakini Yesu akajificha, na kisha akaondoka katika eneo la Hekalu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo wakaokota mawe ili wamtupie, lakini Yesu akajificha, akatoka Hekaluni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo wakaokota mawe ili wamtupie, lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wakaokota mawe ili kumpiga, lakini Yesu akajificha, naye akatoka Hekaluni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wakaokota mawe ili kumpiga, lakini Isa akajificha, naye akatoka Hekaluni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo wakaokota mawe ili wamtupie, lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, walipookota mawe, wamtupie. Lakini Yesu akawa amefichika, akapatoka patakatifu.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ajili ya hii, wakaokota mawe kwa kumutupia. Lakini Yesu akajificha na kutoka ndani ya hekalu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi wakatwaa mawe wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.