John 9:1 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu alipokuwa akipita alimwona mtu mmoja, kipofu tangu kuzaliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa alipokuwa akipita, akamwona mtu aliyekuwa kipofu tangu kuzaliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata alipokuwa akipita alimwona mtu, kipofu tangu kuzaliwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alipokuwa anatembea, alimwona mtu asiyeona tangu alipozaliwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu alipokuwa akipita alimwona mtu mmoja, kipofu tangu kuzaliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu alipokuwa akipita alimwona mtu mmoja, kipofu tangu kuzaliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu alipokuwa akipita, akamwona mtu aliyekuwa kipofu tangu kuzaliwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa alipokuwa akipita, akamwona mtu aliyekuwa kipofu tangu kuzaliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na alipokuwa akipita alimwona mtu, kipofu tangu kuzaliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu alipokuwa akipita alimwona mtu mmoja, kipofu tangu kuzaliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokuwa akitambea akaona amtu aliyekuwa kipofu tangu kuzaliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata alipokuwa akipita alimwona mtu, kipofu tangu kuzaliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu alipokuwa akipita katika njia, akaona mutu mumoja aliyekuwa kipofu tangu kuzaliwa kwake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
HATTA alipokuwa akipita akamwona nitu, kipofu tangu kuzaliwa.