John 9:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakamwuliza, “Sasa, macho yako yalipataje kufumbuliwa?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamuuliza, “Basi macho yako yalifumbuliwaje?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakamwambia, Macho yako yalifumbuliwaje?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakamwuliza, “Kulitokea nini? Uliwezaje kupata kuona?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakamwuliza, “Sasa, macho yako yalipataje kufumbuliwa?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakamwuliza, “Sasa, macho yako yalipataje kufumbuliwa?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwuliza, “Basi macho yako yalifumbuliwaje?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamuuliza, “Basi macho yako yalifumbuliwaje?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakamwambia, Macho yako yalifumbuliwaje?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakamwuliza, “Sasa, macho yako yalipataje kufumbuliwa?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, wakamwuliza: Macho yako yamefumbukaje?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakamwambia, Macho yako yalifumbuliwaje?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakamwuliza: “Macho yako yaliponyeshwa namna gani?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yeye mwenyewe alisema, Mimi ndiye. Bassi wakamwambia, Macho yako yalifumhuliwaje?