John 9:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakamwuliza, “Yeye yuko wapi?” Naye akawajibu, “Mimi sijui!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wakamuuliza, “Yeye huyo mtu yuko wapi?” Akawajibu, “Sijui.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia, Yuko wapi huyo? Akasema, Mimi sijui.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakamwuliza, “Yuko wapi mtu huyo?” Akajibu, “Mimi sijui aliko.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakamwuliza, “Yeye yuko wapi?” Naye akawajibu, “Mimi sijui!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakamwuliza, “Yeye yuko wapi?” Naye akawajibu, “Mimi sijui!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wakamwuliza, “Yeye huyo mtu yuko wapi?” Akawajibu, “Sijui.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wakamuuliza, “Yeye huyo mtu yuko wapi?” Akawajibu, “Sijui.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia, Yuko wapi huyo? Akasema, Mimi sijui.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakamwuliza, “Yeye yuko wapi?” Naye akawajibu, “Mimi sijui!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipomwuliza: Yuko wapi huyo? akasema: Sijui.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia, Yuko wapi huyo? Akasema, Mimi sijui.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wakamwuliza tena: “Yule mutu yuko wapi?” Akajibu: “Sijui.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamwambia, Yuko wapi mtu huyo? Akanena, Sijui.