John 9:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo Yesu alipofanya tope na kumfumbua macho mtu huyo, ilikuwa siku ya Sabato.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi siku hiyo Isa alitengeneza tope na kuyafungua macho ya huyo mtu ilikuwa Sabato.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo ilikuwa sabato, hapo Yesu alipofanya zile tope na kumfumbua macho.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku Yesu alipotengeneza yale matope na kuyaponya macho ya mtu huyo ilikuwa ni Sabato.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Siku hiyo Yesu alipofanya tope na kumfumbua macho mtu huyo, ilikuwa siku ya Sabato.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo Yesu alipofanya tope na kumfumbua macho mtu huyo, ilikuwa siku ya Sabato.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi siku hiyo Yesu alipotengeneza tope na kuyafungua macho ya huyo mtu ilikuwa Sabato.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi siku hiyo Isa alipotengeneza tope na kuyafungua macho ya huyo mtu ilikuwa Sabato.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo ilikuwa sabato, hapo Yesu alipofanya zile tope na kumfumbua macho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo Yesu alipofanya tope na kumfumbua macho mtu huyo, ilikuwa siku ya Sabato.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini siku, Yesu alipokivuruga kitope na kumfumbua macho yake, ilikuwa ya mapumziko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo ilikuwa sabato, hapo Yesu alipofanya zile tope na kumfumbua macho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na siku ile Yesu alipofanya matope na kuponyesha macho ya mutu yule, ilikuwa siku ya Sabato.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na ilikuwa sabato hapo Yesu alipofanya tope na kumfumbua macho.