John 9:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiyo maana wazazi wake walisema: “Yeye ni mtu mzima, mwulizeni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo wazazi wake wakasema, “Yeye ni mtu mzima. Muulizeni.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiyo sababu wale wazazi wake walisema, Ni mtu mzima, mwulizeni yeye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo maana wazazi wake walisema, “Yeye ni mtu mzima. Muulizeni yeye!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndiyo maana wazazi wake walisema: “Yeye ni mtu mzima, mwulizeni.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiyo maana wazazi wake walisema: “Yeye ni mtu mzima, mwulizeni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo wazazi wake wakasema, “Yeye ni mtu mzima. Mwulizeni.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo wazazi wake wakasema, “Yeye ni mtu mzima. Muulizeni.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiyo sababu wale wazazi wake walisema, Ni mtu mzima, mwulizeni yeye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiyo maana wazazi wake walisema: “Yeye ni mtu mzima, mwulizeni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wazazi wake walisema: Ni mtu mzima, mwulizeni mwenyewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiyo sababu wale wazazi wake walisema, Ni mtu mzima, mwulizeni yeye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na hiyo ndiyo sababu wazazi wake walisema kwamba yeye ni mutu muzima, wamwulize.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndio sababu wazazi wake walisema, Yeye ni mtu mzima, mwulizeni.