John 9:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakamwuliza, “Alikufanyia nini? Alikufumbuaje macho yako?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamuuliza, “Alikufanyia nini? Aliyafumbuaje macho yako?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakamwambia, Alikutendea nini? Alikufumbua macho jinsi gani?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakawuuliza, “Alikufanyia nini? Aliyaponyaje macho yako?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakamwuliza, “Alikufanyia nini? Alikufumbuaje macho yako?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakamwuliza, “Alikufanyia nini? Alikufumbuaje macho yako?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwuliza, “Alikufanyia nini? Aliyafumbuaje macho yako?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamuuliza, “Alikufanyia nini? Aliyafumbuaje macho yako?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakamwambia, Alikutendea nini? Alikufumbua macho jinsi gani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakamwuliza, “Alikufanyia nini? Alikufumbuaje macho yako?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipomwuliza: Amekufanyia nini? Amekufumbua macho jinsi gani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakamwambia, Alikutendea nini? Alikufumbua macho jinsi gani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamwuliza tena: “Yeye alikufanyia nini? Namna gani alikuponyesha macho?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamwambia tena, Alikutenda nini? Alikufumbuaje macho?