John 9:33 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mtu huyu hakutoka kwa Mungu, hangeweza kufanya chochote!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama huyo asingalitoka kwa Mungu, asingeweza kutenda neno lo lote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo lazima anatoka kwa Mungu. Kama asingetoka kwa Mungu, asingefanya jambo lolote kama hili.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama mtu huyu hakutoka kwa Mungu, hangeweza kufanya chochote!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mtu huyu hakutoka kwa Mungu, hangeweza kufanya chochote!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lo lote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama huyo asingalitoka kwa Mungu, asingeweza kutenda neno lolote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mtu huyu hakutoka kwa Mungu, hangeweza kufanya chochote!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyo kama angekuwa hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya kitu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama huyo asingalitoka kwa Mungu, asingeweza kutenda neno lo lote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mutu huyu asingetoka kwa Mungu, hangeweza kufanya kitu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kama huyu asingalitoka kwa Mungu, asingeweza kutenda neno.