John 9:36 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo mtu akajibu, “Mheshimiwa, niambie yeye ni nani, ili nipate kumwamini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akajibu akasema, Ni nani, Bwana, nipate kumwamini?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yule mtu akajibu, “Niambie ni nani huyo, bwana, ili nimwamini.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huyo mtu akajibu, “Mheshimiwa, niambie yeye ni nani, ili nipate kumwamini.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo mtu akajibu, “Mheshimiwa, niambie yeye ni nani, ili nipate kumwamini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani ili nipate kumwamini, niambie ili nipate kumwamini.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akajibu akasema, Ni nani, Bwana, nipate kumwamini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo mtu akajibu, “Mheshimiwa, niambie yeye ni nani, ili nipate kumwamini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule akajibu, akasema: Ni yupi, Bwana, nipate kumtegemea?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akajibu akasema, Ni nani, Bwana, nipate kumwamini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mutu akamujibu: “Bwana, unielezee yeye ni nani, kusudi nipate kumwamini.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae akajibu, akasema, Ni nani, Bwana, nipate kumwamini?