John 9:37 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akamwambia, “Umekwisha mwona, naye ndiye anayesema nawe sasa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akamjibu, “Umekwisha kumwona; naye anayezungumza nawe, ndiye.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yesu akamwambia, Umemwona, naye anayesema nawe ndiye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akamwambia, “Umekwisha kumwona tayari. Mwana wa Adamu ndiye anayesema nawe sasa.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akamwambia, “Umekwisha mwona, naye ndiye anayesema nawe sasa.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akamwambia, “Umekwisha mwona, naye ndiye anayesema nawe sasa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yesu akamwambia, Umemwona, naye anayesema nawe ndiye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akamwambia, “Umekwisha mwona, naye ndiye anayesema nawe sasa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akamwambia: Umekwisha kumwona, naye anayesema na wewe ndiye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akamwambia, Umemwona, naye anayesema nawe ndiye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akamwambia: “Umemwona, na ni yeye anayesema nawe sasa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akamwambia, Umemwona, na yeye anaesema nawe ndiye.