Jonah 1:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakamchukua Yona, wakamtupa baharini, na papo hapo bahari ikatulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakamchukua Yona, wakamtupa baharini, nayo bahari iliyokuwa imechafuka ikatulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakamkamata Yona, wakamtupa baharini, nayo bahari ikaacha kuchafuka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakamchukua Yona, wakamtupa baharini, na papo hapo bahari ikatulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha walimchukua Yona, wakamtupa baharini nayo bahari iliyokuwa imechafuka ikatulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha walimchukua Yona, wakamtupa baharini nayo bahari iliyokuwa imechafuka ikatulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakamkamata Yona, wakamtupa baharini, nayo bahari ikaacha kuchafuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakamchukua Yona, wakamtupa baharini, na papo hapo bahari ikatulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakamchukua Yona, wakamtupa baharini; ndipo, bahari ilipotulia ikiacha kuchafuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakamkamata Yona, wakamtupa baharini, nayo bahari ikaacha kuchafuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakamukamata Yona, wakamutupa ndani ya bahari na palepale bahari ikatulia.