Jonah 1:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mabaharia hao wakamwogopa sana Mwenyezi-Mungu, wakamtolea sadaka na kuweka nadhiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika jambo hili watu wakamwogopa Mwenyezi Mungu sana, wakamtolea Mwenyezi Mungu dhabihu na kumwekea nadhiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo wale watu wakamwogopa Bwana mno, wakamtolea Bwana sadaka, na kuweka nadhiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mabaharia hao wakamwogopa sana Mwenyezi-Mungu, wakamtolea sadaka na kuweka nadhiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika jambo hili watu wakamwogopa BWANA sana, wakamtolea BWANA dhabihu na kumwekea nadhiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika jambo hili watu wakamwogopa bwana sana, wakamtolea bwana dhabihu na kumwekea nadhiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo wale watu wakamwogopa BWANA mno, wakamtolea BWANA sadaka, na kuweka nadhiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mabaharia hao wakamwogopa sana Mwenyezi-Mungu, wakamtolea sadaka na kuweka nadhiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wale waume wakamwogopa Bwana, woga mwingi ukawashika, wakamtambikia Bwana na kumtolea ng'ombe ya tambiko pamoja na kumwapia viapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo wale watu wakamwogopa BWANA mno, wakamtolea BWANA sadaka, na kuweka nadhiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hao wakamwogopa sana Yawe, wakamutolea sadaka na kufanya viapo.