Jonah 1:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ondoka uende Ninewi, ule mji mkuu, ukaukemee, maana nimeona uovu wake ni mkubwa mno.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nenda mji mkubwa wa Ninawi ukahubiri dhidi yake, kwa sababu uovu wake umefika kwangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa, ukapige kelele juu yake; kwa maana uovu wao umepanda juu mbele zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ondoka uende Ninewi, ule mji mkuu, ukaukemee, maana nimeona uovu wake ni mkubwa mno.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nenda katika mji mkubwa wa Ninawi ukahubiri juu yake, kwa sababu uovu wake umekuja juu mbele zangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nenda katika mji mkubwa wa Ninawi ukahubiri juu yake, kwa sababu uovu wake umekuja juu mbele zangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa, ukapige kelele juu yake; kwa maana uovu wao umepanda juu mbele zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ondoka uende Ninewi, ule mji mkuu, ukaukemee, maana nimeona uovu wake ni mkubwa mno.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ondoka, uende katika mji ule mkubwa wa Niniwe, uutangazie, ya kuwa ubaya wao umenitokea hapa juu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa, ukapige kelele juu yake; kwa maana uovu wao umepanda juu mbele zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Simama, uende Ninawe, ule muji mukubwa, uukaripie. Maana uovu wake umenifikia.