Jonah 1:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yona akawajibu, “Mimi ni Mwebrania; namcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa mbingu, muumba wa bahari na nchi kavu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajibu, “Mimi ni Mwebrania, nami namwabudu Mwenyezi Mungu, Mungu wa Mbinguni, aliyeumba bahari na nchi kavu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Mimi ni Mwebrania; nami namcha Bwana, Mungu wa mbingu, aliyeziumba bahari na nchi kavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yona akawajibu, “Mimi ni Mwebrania; namcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa mbingu, muumba wa bahari na nchi kavu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajibu, “Mimi ni Mwebrania, nami namwabudu BWANA, Mungu wa Mbinguni, aliyeumba bahari na nchi kavu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajibu, “Mimi ni Mwebrania, nami namwabudu bwana, Mungu wa Mbinguni, aliyeumba bahari na nchi kavu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Mimi ni Mwebrania; nami namcha BWANA, Mungu wa mbingu, aliyeziumba bahari na nchi kavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yona akawajibu, “Mimi ni Mwebrania; namcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa mbingu, muumba wa bahari na nchi kavu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia: Mimi ni Mwebureo, mimi ninamcha Bwana, Mungu wa mbingu, aliyezifanya bahari na nchi kavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Mimi ni Mwebrania; nami namcha BWANA, Mungu wa mbingu, aliyeziumba bahari na nchi kavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yona akawajibu: Mimi ni Mwebrania; ninamwabudu Yawe, Mungu wa mbingu, muumba wa bahari na inchi kavu.