Jonah 2:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yona, akiwa tumboni mwa samaki huyo, akawa akimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akiwa ndani ya tumbo la samaki, Yona alimwomba Mwenyezi Mungu, Mungu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yona akamwomba Bwana, Mungu wake, katika tumbo la yule samaki,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yona, akiwa tumboni mwa samaki huyo, akawa akimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akiwa ndani ya tumbo la nyangumi, Yona alimwomba BWANA Mungu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akiwa ndani ya tumbo la nyangumi, Yona alimwomba bwana Mwenyezi Mungu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yona akamwomba BWANA, Mungu wake, akiwa katika tumbo la yule samaki,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yona, akiwa tumboni mwa samaki huyo, akawa akimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akaagiza samaki mkubwa, aje ammeze Yona, Yona akawamo tumboni mwa samaki huyo siku tatu mchana na usiku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yona akamwomba BWANA, Mungu wake, katika tumbo la yule samaki,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Yawe akaamuru samaki mukubwa amumeze Yona, naye akabaki ndani ya tumbo la samaki huyo kwa muda wa siku tatu, usiku na muchana.