Jonah 2:11 — Compare Translations

2 translations compared side by side

Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipomwagiza yule samaki, naye akaja kumtapika Yona pwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yawe akamwamuru yule samaki, naye akamutapika Yona kwenye inchi kavu.