Jonah 2:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Roho yangu ilipoanza kunitoka, nilikukumbuka, ee Mwenyezi-Mungu, sala yangu ikakufikia, katika hekalu lako takatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Uhai wangu ulipokuwa unatoka, nilikukumbuka wewe, Mwenyezi Mungu, nayo maombi yangu yalikufikia wewe, katika Hekalu lako takatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Roho yangu ilipozimia ndani yangu, Nalimkumbuka Bwana; Maombi yangu yakakuwasilia, Katika hekalu lako takatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Roho yangu ilipoanza kunitoka, nilikukumbuka, ee Mwenyezi-Mungu, sala yangu ikakufikia, katika hekalu lako takatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wakati uhai wangu ulipokuwa unatoka, nilikukumbuka wewe, BWANA, nayo maombi yangu yalikufikia wewe, katika Hekalu lako takatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakati uhai wangu ulipokuwa unatoka, nilikukumbuka wewe, bwana, nayo maombi yangu yalikufikia wewe, katika Hekalu lako takatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Roho yangu ilipozimia ndani yangu, Nilimkumbuka BWANA; Maombi yangu yakakufikia, Katika hekalu lako takatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Roho yangu ilipoanza kunitoka, nilikukumbuka, ee Mwenyezi-Mungu, sala yangu ikakufikia, katika hekalu lako takatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimezama kuifikia misingi ya milima, makomeo ya nchi yamenifungia kale na kale, lakini wewe Bwana Mungu wangu umenitoa kuzimuni, niwe mzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Roho yangu ilipozimia ndani yangu, Nalimkumbuka BWANA; Maombi yangu yakakuwasilia, Katika hekalu lako takatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliteremuka mpaka kwenye misingi ya milima, katika inchi ambayo milango yake imefungwa milele. Lakini wewe, ee Yawe, Mungu wangu, umenipandisha nikiwa muzima kutoka mule ndani ya shimo.