Jonah 2:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wanaoabudu sanamu za miungu batili, huutupilia mbali uaminifu wao kwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wale watu wanaoshikilia sanamu batili hupoteza neema yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu waangaliao mambo ya ubatili na uongo Hujitenga na rehema zao wenyewe;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wanaoabudu sanamu za miungu batili, huutupilia mbali uaminifu wao kwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wale watu wanaong'ang'ana na sanamu zisizofaa hupoteza neema ile ambayo ingekuwa yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wale watu wanaong’ang’ana na sanamu zisizofaa hupoteza neema ile ambayo ingekuwa yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu waangaliao mambo ya ubatili na uongo Hujitenga na rehema zao wenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wanaoabudu sanamu za miungu batili, huutupilia mbali uaminifu wao kwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho yangu ilipokuwa katika kuzimia ndani yangu, ndipo, nilipomkumbuka Bwana, maombo yangu yakakufikia katika Jumba lako takatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu waangaliao mambo ya ubatili na uongo Hujitenga na rehema zao wenyewe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Roho yangu ilipoanza kunitoka, nilikukumbuka, ee Yawe, maombi yangu yakakufikia katika hekalu lako takatifu.