Jonah 3:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yona mara ya pili:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo neno la Mwenyezi Mungu likamjia Yona mara ya pili:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno la Bwana likamjia Yona mara ya pili, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yona mara ya pili:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo neno la BWANA likamjia Yona mara ya pili:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo neno la bwana likamjia Yona mara ya pili:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno la BWANA likamjia Yona mara ya pili, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yona mara ya pili:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana likamjia Yona mara ya pili kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno la BWANA likamjia Yona mara ya pili, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neno la Yawe lilimufikia Yona mara ya pili kusema hivi: