Jonah 4:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Mungu akamwambia, “Mmea huu uliota na kukua kwa usiku mmoja, na usiku uliofuata ukanyauka. Wewe hukuufanyia kitu chochote, wala hukuuotesha. Mbona unauhurumia?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mwenyezi Mungu akamwambia, “Wewe unakasirika kwa ajili ya mzabibu huu, nawe hukuusababisha kuota wala kuutunza. Uliota usiku mmoja, nao ukafa usiku mmoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akamwambia, Wewe umeuhurumia mtango, ambao hukuufanyia kazi, wala kuuotesha; uliomea katika usiku mmoja, na kuangamia katika usiku mmoja;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Mungu akamwambia, “Mmea huu uliota na kukua kwa usiku mmoja, na usiku uliofuata ukanyauka. Wewe hukuufanyia kitu chochote, wala hukuuotesha. Mbona unauhurumia?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini BWANA akamwambia, “Wewe waona vibaya kwa ajili ya mzabibu huu, nawe hukuusababisha kuota wala kuutunza. Uliota usiku mmoja nao ukafa usiku mmoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini bwana akamwambia, “Wewe unakasirika kwa ajili ya mzabibu huu, nawe hukuusababisha kuota wala kuutunza. Uliota usiku mmoja, nao ukafa usiku mmoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana akamwambia, Wewe umeuhurumia mtango, ambao hukuufanyia kazi, wala kuuotesha; uliomea katika usiku mmoja, na kuangamia katika usiku mmoja;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Mungu akamwambia, “Mmea huu uliota na kukua kwa usiku mmoja, na usiku uliofuata ukanyauka. Wewe hukuufanyia kitu chochote, wala hukuuotesha. Mbona unauhurumia?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamwambia: Wewe unauonea mbonobono huu uchungu, tena hukuusumbukia, wala hukuukuza; uliota na usiku, tena umekufa na usiku mwingine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana akamwambia, Wewe umeuhurumia mtango, ambao hukuufanyia kazi, wala kuuotesha; uliomea katika usiku mmoja, na kuangamia katika usiku mmoja;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Mungu akamwambia: Mumea huu uliota na kukomaa kwa usiku mumoja, na usiku uliofuata ukanyauka. Wewe haukuufanyia kitu chochote, wala haukuuotesha. Mbona unausikilia huruma?