Jonah 4:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, sasa ee Mwenyezi-Mungu, nakusihi uniondolee uhai wangu, maana, kwangu mimi ni afadhali kufa kuliko kuishi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa, Ee Mwenyezi Mungu, niondolee uhai wangu, kwa kuwa ni afadhali mimi nife kuliko kuishi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, sasa, Ee Bwana, nakuomba, uniondolee uhai wangu; maana ni afadhali nife mimi kuliko kuishi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, sasa ee Mwenyezi-Mungu, nakusihi uniondolee uhai wangu, maana, kwangu mimi ni afadhali kufa kuliko kuishi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa, Ee BWANA, niondolee uhai wangu, kwa kuwa ni afadhali mimi nife kuliko kuishi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa, Ee bwana, niondolee uhai wangu, kwa kuwa ni afadhali mimi nife kuliko kuishi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, sasa, Ee BWANA, nakuomba, uniondolee uhai wangu; maana ni afadhali nife mimi kuliko kuishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, sasa ee Mwenyezi-Mungu, nakusihi uniondolee uhai wangu, maana, kwangu mimi ni afadhali kufa kuliko kuishi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa, Bwana, jitwalie roho yangu, initoke! Kwani kufa kwangu ni kwema kuliko kuishi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, sasa, Ee BWANA, nakuomba, uniondolee uhai wangu; maana ni afadhali nife mimi kuliko kuishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, sasa ee Yawe, ninakusihi uniondoe uzima wangu, maana ni vizuri kwangu kufa kuliko kuishi.