Joshua 1:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Yoshua akawaamuru viongozi wa watu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yoshua akawaagiza maafisa wa watu akisema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yoshua akawaamuru maakida wa watu, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Yoshua akawaamuru viongozi wa watu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yoshua akawaagiza viongozi wa watu akisema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yoshua akawaagiza maafisa wa watu akisema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yoshua akawaamuru viongozi wa watu, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Yoshua akawaamuru viongozi wa watu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosua akawaagiza wenye amri ya watu kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yoshua akawaamuru maakida wa watu, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yoshua akawaamuru viongozi wa watu: