Joshua 1:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoshua akawaambia watu wa kabila la Reubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, Yoshua akasema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Yoshua akawaambia Wareubeni, na Wagadi, na hao wa nusu ya kabila ya Manase, akasema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoshua akawaambia watu wa kabila la Reubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kwa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, Yoshua akasema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, Yoshua akasema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Yoshua akawaambia Wareubeni, na Wagadi, na hao wa nusu ya kabila la Manase, akasema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoshua akawaambia watu wa kabila la Reubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Warubeni na Wagadi na nusu ya watu wa shina la Manese Yosua akaanza kuwaambia kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Yoshua akawaambia Wareubeni, na Wagadi, na hao wa nusu ya kabila ya Manase, akasema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoshua akawaambia watu wa kabila la Rubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase: