Joshua 1:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakamjibu Yoshua, “Mambo yote uliyotuamuru tutayafanya, na popote utakapotutuma tutakwenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wakamjibu Yoshua, “Chochote ambacho umetuagiza tutafanya na popote utakapotutuma tutaenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamjibu Yoshua, wakasema, Hayo yote uliyotuamuru tutayafanya, na kila mahali utakakotutuma tutakwenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakamjibu Yoshua, “Mambo yote uliyotuamuru tutayafanya, na popote utakapotutuma tutakwenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wakamjibu Yoshua, “Cho chote ambacho umetuagiza tutafanya na po pote utakapotutuma tutakwenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wakamjibu Yoshua, “Chochote ambacho umetuagiza tutafanya na popote utakapotutuma tutakwenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamjibu Yoshua, wakasema, Hayo yote uliyotuamuru tutayafanya, na kila mahali utakakotutuma tutakwenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakamjibu Yoshua, “Mambo yote uliyotuamuru tutayafanya, na popote utakapotutuma tutakwenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamjibu Yosua kwamba: Yote, uliyotuagiza, tutayafanya, napo po pote, utakapotutuma, tutakwenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamjibu Yoshua, wakasema, Hayo yote uliyotuamuru tutayafanya, na kila mahali utakakotutuma tutakwenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamujibu Yoshua: “Mambo yote uliyotuamuru tutayafanya, na popote utakapotutuma tutakwenda.