Joshua 1:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama vile tulivyomtii Mose katika mambo yote, ndivyo tutakavyokutii wewe; Mwenyezi-Mungu, Mungu wako na awe pamoja nawe kama alivyokuwa pamoja na Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama vile tulivyomtii Musa kikamilifu, ndivyo tutakavyokutii wewe. Mwenyezi Mungu, Mungu wako, na awe pamoja nawe tu kama vile alivyokuwa pamoja na Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama vile tulivyomsikiliza Musa katika mambo yote, ndivyo tutakavyokusikiliza wewe; Bwana, Mungu wako, na awe pamoja nawe tu, kama alivyokuwa pamoja na Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama vile tulivyomtii Mose katika mambo yote, ndivyo tutakavyokutii wewe; Mwenyezi-Mungu, Mungu wako na awe pamoja nawe kama alivyokuwa pamoja na Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama vile tulivyomtii Mose kikamilifu, ndivyo tutakavyokutii wewe. BWANA Mungu wako na awe pamoja nawe tu kama vile alivyokuwa pamoja na Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama vile tulivyomtii Musa kikamilifu, ndivyo tutakavyokutii wewe. bwana Mwenyezi Mungu wako na awe pamoja nawe tu kama vile alivyokuwa pamoja na Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama vile tulivyomsikiliza Musa katika mambo yote, ndivyo tutakavyokusikiliza wewe; BWANA, Mungu wako, na awe pamoja nawe tu, kama alivyokuwa pamoja na Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama vile tulivyomtii Mose katika mambo yote, ndivyo tutakavyokutii wewe; Mwenyezi-Mungu, Mungu wako na awe pamoja nawe kama alivyokuwa pamoja na Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama tulivyomsikia Mose katika mambo yote, hivyo tutakusikia hata wewe. Tunataka tu, Bwana Mungu wako awe na wewe, kama alivyokuwa na Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama vile tulivyomsikiliza Musa katika mambo yote, ndivyo tutakavyokusikiliza wewe; BWANA, Mungu wako, na awe pamoja nawe tu, kama alivyokuwa pamoja na Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile tulivyomutii Musa katika mambo yote, ndivyo tutakavyokutii wewe; Yawe, Mungu wako, akuwe pamoja nawe kama alivyokuwa pamoja na Musa.