Joshua 10:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Yoshua akarudi kambini huko Gilgali pamoja na Waisraeli wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yoshua akarudi kambini huko Gilgali pamoja na Israeli yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yoshua akarudi, na Israeli wote wakarudi pamoja naye, mpaka maragoni hapo Gilgali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Yoshua akarudi kambini huko Gilgali pamoja na Waisraeli wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yoshua akarudi kambini huko Gilgali pamoja na Waisraeli wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yoshua akarudi kambini huko Gilgali pamoja na Israeli yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yoshua akarudi, na Israeli wote wakarudi pamoja naye, mpaka kambini hapo Gilgali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Yoshua akarudi kambini huko Gilgali pamoja na Waisraeli wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yosua akarudi makambini kwa Gilgali pamoja na Waisiraeli wote waliokuwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yoshua akarudi, na Israeli wote wakarudi pamoja naye, mpaka maragoni hapo Gilgali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yoshua akarudi katika kambi kule Gilgali pamoja na Waisraeli wote.