Joshua 10:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wafalme watano walikimbia na kujificha katika pango la Makeda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi wale wafalme watano wakawa wamekimbia kujificha kwenye pango huko Makeda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hawa wafalme watano wakakimbia, wakajificha ndani ya pango la Makeda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wafalme watano walikimbia na kujificha katika pango la Makeda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi wale wafalme watano wakawa wamekimbia kujificha kwenye pango huko Makeda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi wale wafalme watano wakawa wamekimbia kujificha kwenye pango huko Makeda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hawa wafalme watano wakakimbia, wakajificha ndani ya pango la Makeda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wafalme watano walikimbia na kujificha katika pango la Makeda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wale wafalme watano wakakimbia, wakajificha pangoni kule Makeda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hawa wafalme watano wakakimbia, wakajificha ndani ya pango la Makeda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale wafalme watano wakakimbia na kujificha katika pango la Makeda.