Joshua 10:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoshua akapata habari kwamba wafalme hao wamegunduliwa walikojificha katika pango la Makeda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoshua alipoambiwa kuwa wafalme hao watano wamekutwa wakiwa wamejificha ndani ya pango huko Makeda,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yoshua aliambiwa habari hiyo, ya kwamba, Hao wafalme watano wameonekana, nao wa hali ya kujificha ndani ya pango la Makeda
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoshua akapata habari kwamba wafalme hao wamegunduliwa walikojificha katika pango la Makeda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoshua alipoambiwa kuwa wafalme hao watano wamekutwa wakiwa wamejificha ndani ya pango huko Makeda,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoshua alipoambiwa kuwa wafalme hao watano wamekutwa wakiwa wamejificha ndani ya pango huko Makeda,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Yoshua aliambiwa habari hiyo, ya kwamba, Hao wafalme watano wameonekana, nao wamejificha ndani ya pango la Makeda
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoshua akapata habari kwamba wafalme hao wamegunduliwa walikojificha katika pango la Makeda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosua alipopashwa habari kwamba: Hao wafalme watano wameonekana, wamejificha pangoni huko Makeda,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yoshua aliambiwa habari hiyo, ya kwamba, Hao wafalme watano wameonekana, nao wa hali ya kujificha ndani ya pango la Makeda
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)