Joshua 10:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoshua akasema, “Vingirisheni mawe makubwa mlangoni mwa pango na kuweka walinzi hapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akasema, “Vingirisheni mawe makubwa kwenye mlango wa pango, tena mweke walinzi wa kulilinda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yoshua akasema, Haya, vingirisheni mawe makubwa mdomoni mwa lile pango, kisha wekeni watu hapo ili kuwalinda;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoshua akasema, “Vingirisheni mawe makubwa mlangoni mwa pango na kuweka walinzi hapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akasema, “Vingirisheni mawe makubwa kwenye mdomo wa hilo pango, tena wekeni walinzi wa kulilinda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akasema, “Vingirisheni mawe makubwa kwenye mdomo wa hilo pango, tena wekeni walinzi wa kulilinda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yoshua akasema, Haya, vingirisheni mawe makubwa mdomoni mwa lile pango, kisha wekeni watu hapo ili kuwalinda;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoshua akasema, “Vingirisheni mawe makubwa mlangoni mwa pango na kuweka walinzi hapo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosua akaagiza: Poromosheni mawe makubwa hapo pa kuliingilia lile pango, kisha wekeni hapo watu wa kuwaangalia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yoshua akasema, Haya, vingirisheni mawe makubwa mdomoni mwa lile pango, kisha wekeni watu hapo ili kuwalinda;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoshua akasema: “Muviringishe mawe makubwa kwenye mulango wa pango na kuweka walinzi pale.