Joshua 10:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nyinyi msikae huko, bali muwafuatie adui zenu. Muwapige kutoka upande wa nyuma, wala musiwaache waingie mijini mwao, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, amewatia mikononi mwenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini msiwaache! Wafuatieni adui zenu, washambulieni kutoka nyuma, wala msiwaache wafike kwenye miji yao, kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, amewatia mkononi mwenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini msikae ninyi; wafuatieni adui zenu, mwapige hao walio nyuma; msiwaache wakaingia ndani ya miji yao; kwa kuwa Bwana, Mungu wenu, amewatia mikononi mwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nyinyi msikae huko, bali muwafuatie adui zenu. Muwapige kutoka upande wa nyuma, wala musiwaache waingie mijini mwao, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, amewatia mikononi mwenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini msiwaache! Wafuatieni adui zenu, washambulieni walio nyuma, wala msiwaache wafike kwenye miji yao, kwa kuwa BWANA Mungu wenu amewatia mikononi mwenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini msiwaache! Wafuatieni adui zenu, washambulieni kutoka nyuma, wala msiwaache wafike kwenye miji yao, kwa kuwa bwana Mwenyezi Mungu wenu amewatia mkononi mwenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini msikae ninyi; wafuatieni adui zenu, wapigeni hao walio nyuma; msiwaache wakaingia ndani ya miji yao; kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, amewatia mikononi mwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nyinyi msikae huko, bali muwafuatie adui zenu. Muwapige kutoka upande wa nyuma, wala musiwaache waingie mijini mwao, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, amewatia mikononi mwenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi msisimame bure! Ila pigeni mbio kuwafuata adui zenu, mwaue walio nyuma yao, msiwaache, waingie mjini kwao! Kwani Bwana Mungu wenu amewatia mikononi mwetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini msikae ninyi; wafuatieni adui zenu, mwapige hao walio nyuma; msiwaache wakaingia ndani ya miji yao; kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, amewatia mikononi mwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninyi musikae kule, muwafuatilie waadui zenu. Muwapige kutoka upande wa nyuma, wala musiwaache waingie katika miji yao, maana Yawe, Mungu wenu, amewatia katika mikono yenu.”