Joshua 10:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya hayo Waisraeli wote walirudi salama kwa Yoshua huko kambini Makeda; na hakuna tena mtu aliyethubutu kusema lolote dhidi ya Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi jeshi lote likarudi salama kwa Yoshua kule kambini Makeda, na hakuna yeyote aliyetoa neno kinyume cha Waisraeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo hao watu wote wakamrudia Yoshua maragoni huko Makeda salama; hakuna mtu awaye yote aliyetoa ulimi kinyume cha hao wana wa Israeli hata mmojawapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya hayo Waisraeli wote walirudi salama kwa Yoshua huko kambini Makeda; na hakuna tena mtu aliyethubutu kusema lolote dhidi ya Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jeshi lote likarudi salama kwa Yoshua huko kambini Makeda, hakuna ye yote aliyetoa neno kinyume cha Waisraeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi jeshi lote likarudi salama kwa Yoshua huko kambini Makeda, na hakuna yeyote aliyetoa neno kinyume cha Waisraeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo hao watu wote wakamrudia Yoshua kambini huko Makeda salama; hakuna mtu ye yote aliyetoa ulimi kinyume cha hao wana wa Israeli hata mmojawapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya hayo Waisraeli wote walirudi salama kwa Yoshua huko kambini Makeda; na hakuna tena mtu aliyethubutu kusema lolote dhidi ya Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, watu wote waliporudi salama makambini kwa Yosua kule Makeda, hakuna mtu tena aliyeuchongoa ulimi wake kuwasimanga wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo hao watu wote wakamrudia Yoshua maragoni huko Makeda salama; hakuna mtu awaye yote aliyetoa ulimi kinyume cha hao wana wa Israeli hata mmojawapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya hayo Waisraeli wote wakarudi salama kwa Yoshua kule katika kambi Makeda; na hakuna tena mutu aliyesubutu kusema neno lolote juu ya Waisraeli.