Joshua 10:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye, Yoshua aliwanyonga kwa kuwaangika kwenye miti mitano ambako walitundikwa mpaka jioni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yoshua akawapiga na kuwaua wale wafalme na kuwatundika juu ya miti mitano, nao wakaachwa wakining’inia juu ya ile miti hadi jioni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baadaye Yoshua akawapiga, na kuwaua, akawatundika katika miti mitano; nao wakawa wakitundikwa katika hiyo miti hata jioni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye, Yoshua aliwanyonga kwa kuwaangika kwenye miti mitano ambako walitundikwa mpaka jioni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yoshua akawapiga na kuwaua wale wafalme na kuwatundika juu ya miti mitano, nao wakaachwa wananing'inia juu ya ile miti hadi jioni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yoshua akawapiga na kuwaua wale wafalme na kuwatundika juu ya miti mitano, nao wakaachwa wakining’inia juu ya ile miti hadi jioni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baadaye Yoshua akawapiga, na kuwaua, akawatundika katika miti mitano; nao wakawa wametundikwa katika hiyo miti hadi jioni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye, Yoshua aliwanyonga kwa kuwaangika kwenye miti mitano ambako walitundikwa mpaka jioni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baadaye Yosua akawapiga na kuwaua, kisha akawatungika katika miti mitano; nao wakawa wakining'inia mpaka jioni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baadaye Yoshua akawapiga, na kuwaua, akawatundika katika miti mitano; nao wakawa wakitundikwa katika hiyo miti hata jioni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Yoshua aliwanyonga kwa kuwatundika kwenye miti mitano ambako walitundikwa mpaka magaribi.