Joshua 10:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Makeda, Yoshua pamoja na Waisraeli wote walikwenda Libna wakaushambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yoshua akaondoka Makeda akiwa pamoja na Israeli yote hadi mji wa Libna na kuushambulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yoshua akapita kutoka hapo Makeda, mpaka Libna, na Israeli wote pamoja naye, nao wakapiga Libna;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Makeda, Yoshua pamoja na Waisraeli wote walikwenda Libna wakaushambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yoshua akaondoka Makeda akiwa pamoja na Israeli wote mpaka mji wa Libna na kuushambulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yoshua akaondoka Makeda akiwa pamoja na Israeli yote mpaka mji wa Libna na kuushambulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Yoshua akapita kutoka hapo Makeda, mpaka Libna, na Israeli wote pamoja naye, nao wakapiga Libna;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Makeda, Yoshua pamoja na Waisraeli wote walikwenda Libna wakaushambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosua na Waisiraeli wote waliokuwa naye walipoondoka Makeda, wakaenda Libuna, wakapiga vita nao Walibuna.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yoshua akapita kutoka hapo Makeda, mpaka Libna, na Israeli wote pamoja naye, nao wakapiga Libna;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Makeda, Yoshua pamoja na Waisraeli wote walikwenda Libuna wakaushambulia.