Joshua 10:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha kutoka Libna Yoshua na Waisraeli wote walikwenda Lakishi, wakauzingira na kuushambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yoshua akaondoka Libna kwenda Lakishi akiwa pamoja na Israeli yote; wakajipanga dhidi yake na kuushambulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yoshua akapita kutoka hapo Libna, na Israeli wote pamoja naye, wakafika Lakishi, wakapanga marago mbele yake na kupigana nao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha kutoka Libna Yoshua na Waisraeli wote walikwenda Lakishi, wakauzingira na kuushambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yoshua akaondoka Libna kwenda Lakishi akiwa pamoja na Israeli wote, wakajipanga dhidi yake na kuushambulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yoshua akaondoka Libna kwenda Lakishi akiwa pamoja na Israeli yote; wakajipanga dhidi yake na kuushambulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Yoshua akapita kutoka hapo Libna, na Israeli wote pamoja naye, wakafika Lakishi, wakapiga kambi mbele yake na kupigana nao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha kutoka Libna Yoshua na Waisraeli wote walikwenda Lakishi, wakauzingira na kuushambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosua na Waisiraeli wote waliokuwa naye walipoondoka Libuna wakaenda Lakisi, wakapiga makambi huko, wapigane nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yoshua akapita kutoka hapo Libna, na Israeli wote pamoja naye, wakafika Lakishi, wakapanga marago mbele yake na kupigana nao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kutoka Libuna Yoshua na Waisraeli wote walikwenda Lakisi, wakauzunguka muji ule na kuushambulia.