Joshua 10:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha kutoka Lakishi, Yoshua na Waisraeli wote walikwenda mpaka Egloni, wakauzingira na kuushambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yoshua akaondoka Lakishi kwenda Egloni akiwa pamoja na Israeli yote; wakajipanga dhidi yake na kuushambulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yoshua akapita kutoka hapo Lakishi, na Israeli wote pamoja naye, hata wakafikilia Egloni; nao wakapanga marago mbele yake, na kupigana nao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha kutoka Lakishi, Yoshua na Waisraeli wote walikwenda mpaka Egloni, wakauzingira na kuushambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yoshua akaondoka Lakishi kwenda Egloni akiwa pamoja na Israeli wote, wakajipanga dhidi yake na kuushambulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yoshua akaondoka Lakishi kwenda Egloni akiwa pamoja na Israeli yote; wakajipanga dhidi yake na kuushambulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Yoshua akapita kutoka hapo Lakishi, na Israeli wote pamoja naye, hadi wakafika Egloni; nao wakauzingira na kuushambulia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha kutoka Lakishi, Yoshua na Waisraeli wote walikwenda mpaka Egloni, wakauzingira na kuushambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosua na Waisiraeli wote waliokuwa naye walipoodoka Lakisi wakaenda Egloni, wakapiga makambi huko, wapigane nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yoshua akapita kutoka hapo Lakishi, na Israeli wote pamoja naye, hata wakafikilia Egloni; nao wakapanga marago mbele yake, na kupigana nao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kutoka Lakisi, Yoshua na Waisraeli wote walikwenda mpaka Eguloni, wakauzunguka muji ule na kuushambulia.