Joshua 10:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakauteka siku hiyohiyo na kuwaua wakazi wake wote kama walivyofanya kule Lakishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakauteka mji huo siku ile ile, wakaupiga kwa upanga na kumwangamiza kila mmoja aliyekuwa ndani yake, kama vile walivyokuwa wameufanyia Lakishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
siku iyo hiyo wakautwaa, nao wakaupiga kwa makali ya upanga, na wote pia waliokuwamo ndani yake akawaangamiza kabisa siku hiyo, sawasawa na hayo yote aliyoufanyia mji wa Lakishi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakauteka siku hiyohiyo na kuwaua wakazi wake wote kama walivyofanya kule Lakishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakauteka mji siku ile ile, wakaupiga kwa upanga na kumwangamiza kila mmoja aliyekuwa ndani yake, kama vile walivyokuwa wameufanyia Lakishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakauteka mji huo siku ile ile, wakaupiga kwa upanga na kumwangamiza kila mmoja aliyekuwa ndani yake, kama vile walivyokuwa wameufanyia Lakishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
siku hiyo hiyo wakautwaa, nao wakaupiga kwa makali ya upanga, na wote pia waliokuwamo ndani yake akawaangamiza kabisa siku hiyo, sawasawa na hayo yote aliyoufanyia mji wa Lakishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakauteka siku hiyohiyo na kuwaua wakazi wake wote kama walivyofanya kule Lakishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakauteka siku hiyo, wakawapiga kwa ukali wa panga wakiwatia mwiko wa kuwapo wao wote pia waliokuwamo, wasiachwe kabisa siku hiyo, wakawafanyizia yote, waliyowafanyizia Walakisi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
siku iyo hiyo wakautwaa, nao wakaupiga kwa makali ya upanga, na wote pia waliokuwamo ndani yake akawaangamiza kabisa siku hiyo, sawasawa na hayo yote aliyoufanyia mji wa Lakishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakauteka siku hiyohiyo na kuwaua wakaaji wake wote kama walivyofanya kule Lakisi.