Joshua 10:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu kutoka Egloni Yoshua na Waisraeli wote wakaenda mpaka Hebroni, wakaushambulia
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yoshua na Waisraeli wote wakapanda kutoka Egloni hadi Hebroni, na kuushambulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yoshua akakwea kutoka hapo Egloni, na Israeli wote pamoja naye, hata wakafikilia Hebroni; nao wakapigana nao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu kutoka Egloni Yoshua na Waisraeli wote wakaenda mpaka Hebroni, wakaushambulia
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yoshua akapanda kutoka Egloni kwenda Hebroni akiwa pamoja na Israeli wote na kuushambulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yoshua akapanda kutoka Egloni kwenda Hebroni akiwa pamoja na Israeli yote na kuushambulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Yoshua akakwea kutoka hapo Egloni, na Israeli wote pamoja naye, hadi wakafika Hebroni; nao wakapigana nao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu kutoka Egloni Yoshua na Waisraeli wote wakaenda mpaka Hebroni, wakaushambulia
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosua na Waisiraeli wote waliokuwa naye walipoondoka Egloni wakaenda Heburoni, wakapiga vita nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yoshua akakwea kutoka hapo Egloni, na Israeli wote pamoja naye, hata wakafikilia Hebroni; nao wakapigana nao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu kutoka Eguloni Yoshua na Waisraeli wote wakaenda mpaka Hebroni, wakaushambulia