Joshua 10:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kuuteka. Wakawaua wakazi wake wote pamoja na mfalme wao; waliiharibu kabisa miji mingine iliyouzunguka, wakawaua wakazi wake wote kama walivyofanya kule Egloni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakauteka mji na kuupiga kwa upanga, pamoja na mfalme wake, vijiji vyake na kila mmoja aliyekuwa ndani yake. Hawakubakiza mtu yeyote. Kama vile huko Egloni, waliuangamiza kabisa pamoja na kila mmoja aliyekuwa ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakautwaa, na kuupiga kwa makali ya upanga, na mfalme wake, na miji yake yote, na wote waliokuwamo ndani yake; hakumwacha aliyesalia hata mtu mmoja, sawasawa na hayo yote aliyoufanyia huo mji wa Egloni; lakini akauangamiza kabisa, na wote pia waliokuwamo ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kuuteka. Wakawaua wakazi wake wote pamoja na mfalme wao; waliiharibu kabisa miji mingine iliyouzunguka, wakawaua wakazi wake wote kama walivyofanya kule Egloni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakauteka mji na kuupiga kwa upanga, pamoja na mfalme wake, vijiji vyake na kila mmoja aliyekuwa ndani yake. Hawakubakiza huko mtu ye yote kama vile huko Egloni, waliuangamiza kabisa pamoja na kila mmoja aliyekuwa ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakauteka mji na kuupiga kwa upanga, pamoja na mfalme wake, vijiji vyake na kila mmoja aliyekuwa ndani yake. Hawakubakiza mtu yeyote. Kama vile huko Egloni, waliuangamiza kabisa pamoja na kila mmoja aliyekuwa ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakautwaa, na kuupiga kwa makali ya upanga, na mfalme wake, na miji yake yote, na wote waliokuwamo ndani yake; hakumwacha aliyesalia hata mtu mmoja, sawasawa na hayo yote aliyoufanyia huo mji wa Egloni; lakini akauangamiza kabisa, na wote pia waliokuwamo ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kuuteka. Wakawaua wakazi wake wote pamoja na mfalme wao; waliiharibu kabisa miji mingine iliyouzunguka, wakawaua wakazi wake wote kama walivyofanya kule Egloni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipouteka wakawapiga watu kwa ukali wa panga pamoja na mfalme wa huko, hata miji yake yote; kwao wote waliokuwamo hawakusaza hata mmoja aliyekimbia, wakiyafanya yote, waliyowafanyizia Waegloni na kuwatia mwiko wa kuwapo wao wote waliokuwamo, wasiachwe kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakautwaa, na kuupiga kwa makali ya upanga, na mfalme wake, na miji yake yote, na wote waliokuwamo ndani yake; hakumwacha aliyesalia hata mtu mmoja, sawasawa na hayo yote aliyoufanyia huo mji wa Egloni; lakini akauangamiza kabisa, na wote pia waliokuwamo ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kuuteka. Wakawaua wakaaji wake wote pamoja na mufalme wao; waliiharibu kabisa miji mingine iliyouzunguka, wakawaua wakaaji wake wote kama walivyofanya kule Eguloni.