Joshua 10:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Yoshua na Waisraeli wote wakarudi Debiri, wakaushambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yoshua na Waisraeli wote wakageuka na kushambulia Debiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yoshua akarudi, na Israeli wote pamoja naye, hata Debiri; nao wakapigana nao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Yoshua na Waisraeli wote wakarudi Debiri, wakaushambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yoshua na Israeli wote wakageuka na kuushambulia Debiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yoshua na Israeli wote wakageuka na kuushambulia Debiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Yoshua akarudi, na Israeli wote pamoja naye, hata Debiri; nao wakapigana nao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Yoshua na Waisraeli wote wakarudi Debiri, wakaushambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yosua na Waisiraeli wote waliokuwa naye wakaurudia Debira, wakapiga vita nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yoshua akarudi, na Israeli wote pamoja naye, hata Debiri; nao wakapigana nao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Yoshua na Waisraeli wote wakarudi Debiri, wakaushambulia muji ule.