Joshua 10:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Njoni mnisaidie tuwaangamize Wagibeoni, maana wamefanya mkataba wa amani na Yoshua pamoja na Waisraeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaambia, “Njooni mnisaidie kuipiga Gibeoni, kwa sababu imefanya mkataba wa amani na Yoshua na Waisraeli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, kweeni mje kwangu, mnisaidie, tuupige Gibeoni; kwa sababu umefanya mapatano ya amani pamoja na Yoshua na wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Njoni mnisaidie tuwaangamize Wagibeoni, maana wamefanya mkataba wa amani na Yoshua pamoja na Waisraeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaambia, “Njoni mnisaidie kuipiga Gibeoni, kwa sababu imefanya mapatano ya amani na Yoshua pamoja na Waisraeli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaambia, “Njooni mnisaidie kuipiga Gibeoni, kwa sababu imefanya mapatano ya amani na Yoshua na Waisraeli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, kweeni mje kwangu, mnisaidie, tuupige Gibeoni; kwa sababu umefanya mapatano ya amani pamoja na Yoshua na wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Njoni mnisaidie tuwaangamize Wagibeoni, maana wamefanya mkataba wa amani na Yoshua pamoja na Waisraeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pandeni kuja kwangu, mnisaidie, tuwapige Wagibeoni, kwa kuwa wamepatana naye Yosua nao wana wa Isiraeli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, kweeni mje kwangu, mnisaidie, tuupige Gibeoni; kwa sababu umefanya mapatano ya amani pamoja na Yoshua na wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mukuje munisaidie tuwaangamize Wagibeoni, maana wamefanya mapatano ya amani na Yoshua pamoja na Waisraeli.”