Joshua 10:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliweza kuitwaa nchi hii yote kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, aliwapigania Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafalme hawa wote pamoja na nchi zao Yoshua aliwashinda kwa wakati mmoja, kwa sababu Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, aliwapigania Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wafalme hao wote na nchi zao Yoshua akatwaa, wakati huo, kwa sababu yeye Bwana, Mungu wa Israeli, alipigana kwa ajili ya Israeli,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliweza kuitwaa nchi hii yote kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, aliwapigania Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafalme hawa wote pamoja na nchi zao Yoshua aliwashinda kwa wakati mmoja, kwa sababu BWANA, Mungu wa Israeli, aliwapigania Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafalme hawa wote pamoja na nchi zao Yoshua aliwashinda kwa wakati mmoja, kwa sababu bwana, Mungu wa Israeli, aliwapigania Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wafalme hao wote na nchi zao Yoshua akawatwaa kwa wakati mmoja, kwa sababu yeye BWANA, Mungu wa Israeli, alipigana kwa ajili ya Israeli,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliweza kuitwaa nchi hii yote kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, aliwapigania Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafalme hao wote Yosua akawateka pamoja na nchi zao kwa mara moja, kwani Bwana Mungu wa Isiraeli aliwapigia Waisiraeli vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wafalme hao wote na nchi zao Yoshua akatwaa, wakati huo, kwa sababu yeye BWANA, Mungu wa Israeli, alipigana kwa ajili ya Israeli,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliweza kuitwaa inchi hii yote kwa sababu Yawe, Mungu wa Israeli, aliwapigania Waisraeli.