Joshua 10:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yoshua akarudi mpaka kambini huko Gilgali pamoja na Waisraeli wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yoshua akarudi pamoja na Israeli yote kwenye kambi huko Gilgali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yoshua akarudi, na Israeli wote pamoja naye, hata marago yao huko Gilgali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yoshua akarudi mpaka kambini huko Gilgali pamoja na Waisraeli wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yoshua akarudi pamoja na Israeli wote kwenye kambi huko Gilgali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yoshua akarudi pamoja na Israeli yote kwenye kambi huko Gilgali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Yoshua akarudi, na Israeli wote pamoja naye, hata kambi yao huko Gilgali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yoshua akarudi mpaka kambini huko Gilgali pamoja na Waisraeli wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yosua na Waisiraeli wote waliokuwa naye wakarudi Gilgali makambini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yoshua akarudi, na Israeli wote pamoja naye, hata marago yao huko Gilgali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yoshua akarudi mpaka katika kambi kule Gilgali pamoja na Waisraeli wote.